DAvideo
alle Bilder sehen ;)
Designed by: Hinx3
OSWD 2004

Valid HTML 4.01!

BASE
:::::::: SELECT * FROM DAvidKanal WHERE Chan="UCwpySjgJfXReZjQFHJj-xQQ"

The Saints Ministers TV

07.09.2024 · 19:28:33 ···
01.01.1970 · 01:00:00 ···
25.07.2023 · 09:24:35 ··· 5 ··· ··· 31 ···
07.09.2024 · 19:28:33 ···
01.01.1970 · 01:00:00 ···
25.07.2023 · 09:24:35 ··· 5 ··· ··· 31 ···

1:: #SMSAT10

01.01.1970 · 01:00:00 ··· 21.05.2024 · 08:37:00 ··· ···
··· ··· ··· ···

2:: Welcome all to The Saints Ministers 10 Year Anniversary Celebration @NewlifeSDAChurchNairobi

01.01.1970 · 01:00:00 ··· 21.05.2024 · 08:34:16 ··· ···
··· ··· ··· ···

3:: Si Mateka Tena || The Saints Ministers (Official Video)

01.01.1970 · 01:00:00 ··· 02.02.2024 · 15:00:09 ··· ···
··· ··· ··· ··· LYRICS SI MATEKA TENA 1. Si Mateka tena Mimi, umenizunguka na ushindi wako kabla kuwekwa kwa msingi wa dunia ulipanga ukombozi wa binadamu Mimi niokoke Chorus Sisi si mateka tena tuko huru kwa damu hiyo ya thamani ilomwagika tuokoke. Jongea msalabani damu ikitiririka upatwe pale umesimama utakasike dhambi zote 2.Uliyeizamisha hofu yangu kwenye upendo wako, Kutoka utumwa tu Wana na Binti za kifalme Ndipo twasimama tukiimba ni uhuru wetu 3.Usiku ule wa Giza uliniokoa nisiyestahili , Ishara tosha ulinichagua tumboni mwa mama, kiumbe kipya nikazaliwa ninalo jina jipya. Jua kwamba umesamehewa dhambi uko huru kabisa usitie doa tena moyo wako.

4:: Huenda Nitapitia Milima || The Saints Ministers (Official Video)

01.01.1970 · 01:00:00 ··· 19.01.2024 · 15:00:12 ··· ···
··· ··· ··· ···

5:: Waimba Sikizeni || The Saints Ministers (Official Video)

01.01.1970 · 01:00:00 ··· 15.12.2023 · 15:00:12 ··· ···
··· ··· ··· ··· @harktheheraldangelssing

6:: Mungu Mtunza Agano || The Saints Ministers (Official Video 8k)

01.01.1970 · 01:00:00 ··· 24.11.2023 · 15:00:11 ··· ···
··· ··· ··· ··· Video Prodcued By : Enovarts Creatives Director : LeyMan DoP : Frickern Ass. Director : Osteen, Webster Gaffer & Lighting : Steve Inyangala & Emma Alex Makeup Artist : Oasis Beauty Spa Styling : Diana Dee LYRICS *MUNGU MTUNZA AGANO* *1.Mungu wetu mtunza agano mtimiza ahadi alotoa, ajibuye maombi ya Imani, tumai la wakosa tumaini. Mpiga vita vyema usiyeshindwa, mtenda miujiza kwetu sisi, mtengeza njia baharini, maji safi atunywesha jangwani* *Mungu wa hekima tangu mwanzo, Jehova Jireh Mpaji wa vyote, El-shadai Mungu Mwenyezi, Adonai ndiye Bwana wetu. Alfa Omega mwanzo na mwisho, Ebeneza hadi umbali huu...Immanueli Mungu yu nasi, Elohim Mungu muumbaji* *2.Mshauri wa ajabu kwa mambo yote, Mungu mwenye nguvu mpisheni, Baba wa milele aishiye, Mfalme wa amani kwa mataifa, Tabibu mkuu asiyelala, Mume wa wajane asiyetaliki, Baba wa mayatima mwenye huruma, Mungu wa upendo apewe sifa* *3.Muumbaji wa vyote Mbingu na Dunia , Tasa wananyonyesha kwa jina lako Msogeza milima ni Mungu pekee, Mwanga kwenye Giza haufichiki, Mungu mwenye nguvu hulinganishwi, Mfadhili wa wahitaji hubadiliki, watuepusha majaribu hautikisiki, Mungu uu mmoja haufananishwi*

7:: Ipo Siku || The Saints Ministers (Official Video)

01.01.1970 · 01:00:00 ··· 29.09.2023 · 15:30:09 ··· ···
··· ··· ··· ···

8:: Imani Ya Yesu || The Saints Ministers

01.01.1970 · 01:00:00 ··· 04.08.2023 · 15:00:10 ··· ···
··· ··· ··· ···

9:: Mungu Ni nani? || The Saints Ministers

01.01.1970 · 01:00:00 ··· 14.07.2023 · 15:00:09 ··· ···
··· ··· ··· ··· Lyrics Intro Macho yako Mungu huona duniani kote Hatua zetu salama nawe, Hauchoki nasi Mungu, tujapotanga mbali nawe, Watufuata kwa upole tugeukapo upo pale. Chorus Jamani tunaanguka, tunavunjika lakini Mungu ni nani Atusimamisha tena, Tumepona, tuna nguvu, tuwashindi Mungu atukuzwe. 1. Huwa nakosa maneno sijui nishukuruje, Mungu uwe kwangu Imani inadidimia, Machozi yamefumba macho ila nakutumaini, chochote kitakachokuja umenifunza.... Japo ninaanguka, ninavunjika lakini Mungu ni nani Anisimamisha tena, Nimepona, Nina nguvu, Ni mshindi Mungu atukuzwe. 2. Wakati siwezi simama tena, ninapohitaji nguvu mpya ninakutafuta kote ulipo masahibu yanisongapo. Asema tuanguke kwenye mwamba, atushike kwa mkono wa kuume, Tuwe wateule wako Bwana ujapotusimamisha.

10:: O the wonder of It all just to think that God loves me.

01.01.1970 · 01:00:00 ··· 30.04.2023 · 09:05:54 ··· ···
··· ··· ··· ···

11:: Through thick and thin, our journey together has only made us stronger.

01.01.1970 · 01:00:00 ··· 29.04.2023 · 19:59:59 ··· ···
··· ··· ··· ···

12:: Kuwa Wake Yesu|| The Saints Ministers

01.01.1970 · 01:00:00 ··· 27.01.2023 · 15:00:08 ··· ···
··· ··· ··· ··· Lyrics KUWA WAKE YESU [1] Kuwa wake Yesu, Je! Ni kusudi lako? Ungeenda naye njia nyembamba? Unataka aubebe mzigo wako? Awe Mwongozi wako. Chorus Uwezo wake unakutosha Na damu yake itakusafi; Kwa vile ukubali ni bora Afanye mapenzi yake nawe. [2] Unataka kuitika anapokwita? Kupata amani kwa kumpa vyote? Wataka uwezo usianguke kamwe? Awe Mwongozi wako. [3] Wataka raha katika ufalme wake? Ungeshinda kwa majaribu yote? Ungefanya kazi yake vizuri sana? Awe Mwongozi wako.

13:: The Saints Ministers ||Tutatembea {Official Video} 4K

01.01.1970 · 01:00:00 ··· 14.04.2022 · 15:30:54 ··· ···
··· ··· ··· ··· LYRICS Chorus Tutatembea, tembea kwa furaha,furaha tukiwa na Mwokozi, Kwenye Milango milango ya dhahabu dhahabu tukiwa na furaha. 1. Hakutakuwepo na mambo yote maovu kwenye makaoni juu, Shida taabu na dhiki zinazotusumbua hazitakuwepo juu. 2. Wale ambao watakuwa naye mwokozi watakuwa washindi, Walioshinda dhambi zinazotukabidhi tukiwa duniani. 3. Wakati huu wa hofu ambapo kuna mambo mabaya ya kutisha, Ndio wakati ambapo sote twatakiwa tukeshe kwa Maombi.

14:: Did You Stop To Pray? || The Saints Ministers

01.01.1970 · 01:00:00 ··· 11.03.2022 · 15:00:15 ··· ···
··· ··· ··· ···

15:: The Saints Ministers || It is well with my soul

01.01.1970 · 01:00:00 ··· 06.03.2022 · 13:00:12 ··· ···
··· ··· ··· ···

16:: Kila Wakati Ninakuhitaji ||Amy G. Okoth || The Saints Ministers

01.01.1970 · 01:00:00 ··· 11.02.2022 · 15:00:11 ··· ···
··· ··· ··· ··· #NinakuhitajiBwana #Amy #TheSaintsMinisters

17:: Saintspirations 01#5||Jesus is all the world to me. To download Send "Skiza 9864839" to 811

01.01.1970 · 01:00:00 ··· 07.01.2022 · 15:00:12 ··· ···
··· ··· ··· ···

18:: Saintspirations 01#4|| Jesus What A Friend For Sinners. To download Send "Skiza 9864838" to 811

01.01.1970 · 01:00:00 ··· 24.12.2021 · 15:00:14 ··· ···
··· ··· ··· ···

19:: Parapanda Italia || The Saints Ministers {Official Video} 4K

01.01.1970 · 01:00:00 ··· 17.12.2021 · 15:00:13 ··· ···
··· ··· ··· ···

20:: Does Jesus Care? || Saintspirationals 01#3|| The Saints Ministers. Send "Skiza 9864842" to 811

01.01.1970 · 01:00:00 ··· 10.12.2021 · 15:00:11 ··· ···
··· ··· ··· ···

21:: Saintspirations 01#2 || Amazing Grace Medley ° Sweetest Song I know, Wonderful Grace of Jesus.

01.01.1970 · 01:00:00 ··· 03.12.2021 · 15:00:12 ··· ···
··· ··· ··· ···

22:: Just a Little Talk || Saintspirationals 01#1 ||The Saints Ministers. Send "Skiza 9864836" to 811.

01.01.1970 · 01:00:00 ··· 19.11.2021 · 15:00:11 ··· ···
··· ··· ··· ··· Stream/Download this song: BOOMPLAY : https://www.boomplaymusic.com/share/music/69136496?srModel=COPYLINK&srList=ANDROID Lyrics 1. Nlikuwa mdhambi Yesu kanijia Mwanga wa mbinguni ukanimulika ukanihuisha maisha yangu mazungumzo na Yesu yakaniponya 2. Wakati mwingine ninakata Tamaa nakufunikwa na wingu la mashaka dhambi zafunika mwanga wa upendo mazungumzo naye yatoa mashaka 3. Huzuni Mashaka na hata machozi Yesu tamaliza akirudi tena kwa njia ya maombi Jua shida zangu mazungumzo na Yesu mambo salama (Tuwe na) mazungumzo na mwokozi (kweli) umwambie shida zako (naye) tatusikia (na kweli) atatujibu (sikome) kumwambia shida zako (kweli) takuwa karibu nawe (nawe) uwe na mda wa kuongea naye ( uwe sawa)

23:: The Saints Ministers || I'm Going Away {Official Video} To download Send "Skiza 9864837" to 811

01.01.1970 · 01:00:00 ··· 01.10.2021 · 15:00:13 ··· ···
··· ··· ··· ··· #iwillslipawayhome 𝐒𝐭𝐫𝐞𝐚𝐦/𝐃𝐨𝐰𝐧𝐥𝐨𝐚𝐝 "𝐈'𝐦 𝐠𝐨𝐢𝐧𝐠 𝐀𝐰𝐚𝐲" 𝐡𝐞𝐫𝐞: 𝗕𝗼𝗼𝗺𝗽𝗹𝗮𝘆:https://www.boomplaymusic.com/share/music/56417079?srModel=COPYLINK&srList=ANDROID 𝗦𝗽𝗼𝘁𝗶𝗳𝘆:https://open.spotify.com/track/2TmaZ7GG3v6A1SxiRmUAUD?si=5FhfyXVlRd2MleMb0ODcFA&dl_branch=1 𝗔𝗽𝗽𝗹𝗲 𝗠𝘂𝘀𝗶𝗰:https://music.apple.com/us/album/im-going-away/1474223525?i=1474223535 Contact Us: saintsministerskenya@gmail.com +254729536122

24:: The Saints Ministers || Ajua Yote, Mwamini {Official Video} 4K Send "Skiza 5962424" to 811

01.01.1970 · 01:00:00 ··· 17.09.2021 · 15:00:12 ··· ···
··· ··· ··· ··· Stream/Download Nifundishe Njia Zako here: Boomplay :https://www.boomplaymusic.com/share/music/56412438?srModel=COPYLINK&srList=ANDROID Spotify: https://open.spotify.com/track/3dVsSaCCUTWVVhR6jDgyuu?si=8PfCTUh1RnK8lvj8vBByJA&dl_branch=1 Apple Music: https://music.apple.com/us/album/ajua-yote-mwamini/1474223525?i=1474223528 Contact Us: saintsministerskenya@gmail.com +254729536122 LYRICS 1. Yesu Ajua machungu yako ameona machozi yako, Asema niko nawe mpendwa, usiogope chochote. Chorus Mwamini, Mwokozi, Ajua, Ajua Yote.. Yakusumbua Mwachie, ashughulikie kamilifu. 2. Ajua yalo moyoni mwako, mateso umeyapitia, Mwamini katika Hali zote, ni mwema hatakuwacha.

25:: Nifundishe Njia Zako -The Saints Ministers {Official Video} 4K To get this song Dial *812*786#

01.01.1970 · 01:00:00 ··· 03.09.2021 · 15:00:13 ··· ···
··· ··· ··· ···

26:: The Saints Ministers || Ati Tuonane Mtoni? {Official Video} 4K

01.01.1970 · 01:00:00 ··· 27.08.2021 · 16:30:11 ··· ···
··· ··· ··· ···

27:: Mualike Yesu || The Saints Ministers (Official Video 4K)

01.01.1970 · 01:00:00 ··· 12.03.2021 · 15:00:14 ··· ···
··· ··· ··· ···

28:: Kunapokucha- The Saints Ministers( Official Video)

01.01.1970 · 01:00:00 ··· 26.02.2021 · 15:00:16 ··· ···
··· ··· ··· ···

29:: Hukumu -The Saints Ministeres (Official Video 4K)

01.01.1970 · 01:00:00 ··· 12.02.2021 · 15:00:14 ··· ···
··· ··· ··· ···

30:: The Saints Ministers - Yerusalemi (Official Video 4K)

01.01.1970 · 01:00:00 ··· 29.01.2021 · 15:00:11 ··· ···
··· ··· ··· ···

31:: U mkuu || The Saints Ministers Official Video 4K

01.01.1970 · 01:00:00 ··· 08.01.2021 · 15:00:10 ··· ···
··· ··· ··· ···