DAvideo
alle Bilder sehen ;)
Designed by: Hinx3
OSWD 2004

Valid HTML 4.01!

SELECT * FROM DAFc WHERE DAFc="UCwpySjgJfXReZjQFHJj-xQQ"

Si Mateka Tena || The Saints Ministers (Official Video)

· 02.02.2024 · 17:00:09 ··· Freitag ⭐ 1458 🎬 105940 📺 The Saints Ministers TV
LYRICS

SI MATEKA TENA

1. Si Mateka tena Mimi, umenizunguka na ushindi wako kabla kuwekwa kwa msingi wa dunia ulipanga ukombozi wa binadamu Mimi niokoke

Chorus

Sisi si mateka tena tuko huru kwa damu hiyo ya thamani ilomwagika tuokoke. Jongea msalabani damu ikitiririka upatwe pale umesimama utakasike dhambi zote

2.Uliyeizamisha hofu yangu kwenye upendo wako, Kutoka utumwa tu Wana na Binti za kifalme Ndipo twasimama tukiimba ni uhuru wetu

3.Usiku ule wa Giza uliniokoa nisiyestahili , Ishara tosha ulinichagua tumboni mwa mama, kiumbe kipya nikazaliwa ninalo jina jipya.


Jua kwamba umesamehewa dhambi uko huru kabisa usitie doa tena moyo wako.

· 02.02.2024 · 17:00:09 ··· Freitag
U
U
L
L
T
* 1706889609
* 1706889609
X 105940
Y 1458
P 0

C 8368
B 5
V 31
* · 07.01.2022 · 00:00:00 ···
2 · 25.07.2023 · 09:24:35 ···
L · 01.01.1970 · 01:00:00 ···
C · 07.09.2024 · 19:28:33 ···
💘 🖱️
* · 01.01.1970 · 01:00:00 ···
* · 01.01.1970 · 01:00:00 ···

· 01.01.1970 · 01:00:00 ···
0**##
🧠 📺

*** · 01.01.1970 · 01:00:00 ··· ::
*2* · 01.01.1970 · 01:00:00 ··· ::
*L* · 01.01.1970 · 01:00:00 ··· ::
*C* · 01.01.1970 · 01:00:00 ··· ::

********