DAvideo
alle Bilder sehen ;)
Designed by: Hinx3
OSWD 2004

Valid HTML 4.01!

SELECT * FROM DAFc WHERE DAFc="UCwpySjgJfXReZjQFHJj-xQQ"

Mungu Mtunza Agano || The Saints Ministers (Official Video 8k)

· 24.11.2023 · 17:00:11 ··· Freitag ⭐ 1594 🎬 140832 📺 The Saints Ministers TV
Video Prodcued By : Enovarts Creatives
Director : LeyMan
DoP : Frickern
Ass. Director : Osteen, Webster
Gaffer & Lighting : Steve Inyangala & Emma Alex
Makeup Artist : Oasis Beauty Spa
Styling : Diana Dee

LYRICS

*MUNGU MTUNZA AGANO*

*1.Mungu wetu mtunza agano mtimiza ahadi alotoa, ajibuye maombi ya Imani, tumai la wakosa tumaini. Mpiga vita vyema usiyeshindwa, mtenda miujiza kwetu sisi, mtengeza njia baharini, maji safi atunywesha jangwani*

*Mungu wa hekima tangu mwanzo, Jehova Jireh Mpaji wa vyote, El-shadai Mungu Mwenyezi, Adonai ndiye Bwana wetu. Alfa Omega mwanzo na mwisho, Ebeneza hadi umbali huu...Immanueli Mungu yu nasi, Elohim Mungu muumbaji*

*2.Mshauri wa ajabu kwa mambo yote, Mungu mwenye nguvu mpisheni, Baba wa milele aishiye, Mfalme wa amani kwa mataifa, Tabibu mkuu asiyelala, Mume wa wajane asiyetaliki, Baba wa mayatima mwenye huruma, Mungu wa upendo apewe sifa*

*3.Muumbaji wa vyote Mbingu na Dunia , Tasa wananyonyesha kwa jina lako Msogeza milima ni Mungu pekee, Mwanga kwenye Giza haufichiki, Mungu mwenye nguvu hulinganishwi, Mfadhili wa wahitaji hubadiliki, watuepusha majaribu hautikisiki, Mungu uu mmoja haufananishwi*

· 24.11.2023 · 17:00:11 ··· Freitag
U
U
L
L
T
* 1700841611
* 1700841611
X 140832
Y 1594
P 0

C 8368
B 5
V 31
* · 07.01.2022 · 00:00:00 ···
2 · 25.07.2023 · 09:24:35 ···
L · 01.01.1970 · 01:00:00 ···
C · 07.09.2024 · 19:28:33 ···
💘 🖱️
* · 01.01.1970 · 01:00:00 ···
* · 01.01.1970 · 01:00:00 ···

· 01.01.1970 · 01:00:00 ···
0**##
🧠 📺

*** · 01.01.1970 · 01:00:00 ··· ::
*2* · 01.01.1970 · 01:00:00 ··· ::
*L* · 01.01.1970 · 01:00:00 ··· ::
*C* · 01.01.1970 · 01:00:00 ··· ::

********