DAvideo
alle Bilder sehen ;)
Designed by: Hinx3
OSWD 2004

Valid HTML 4.01!

SELECT * FROM DAFc WHERE DAFc="UCwpySjgJfXReZjQFHJj-xQQ"

Just a Little Talk || Saintspirationals 01#1 ||The Saints Ministers. Send "Skiza 9864836" to 811.

· 19.11.2021 · 17:00:11 ··· Freitag ⭐ 0 🎬 0 📺 The Saints Ministers TV
Stream/Download this song:
BOOMPLAY : https://www.boomplaymusic.com/share/music/69136496?srModel=COPYLINK&srList=ANDROID


Lyrics
1. Nlikuwa mdhambi Yesu kanijia Mwanga wa mbinguni ukanimulika ukanihuisha maisha yangu mazungumzo na Yesu yakaniponya

2. Wakati mwingine ninakata Tamaa nakufunikwa na wingu la mashaka dhambi zafunika mwanga wa upendo mazungumzo naye yatoa mashaka

3. Huzuni Mashaka na hata machozi Yesu tamaliza akirudi tena kwa njia ya maombi Jua shida zangu mazungumzo na Yesu mambo salama

(Tuwe na) mazungumzo na mwokozi (kweli) umwambie shida zako (naye) tatusikia (na kweli) atatujibu (sikome) kumwambia shida zako (kweli) takuwa karibu nawe (nawe) uwe na mda wa kuongea naye ( uwe sawa)

· 19.11.2021 · 17:00:11 ··· Freitag
U
U
L
L
T
* 1637337611
* 1637337611
X 0
Y 0
P 0

C 8368
B 5
V 31
* · 07.01.2022 · 00:00:00 ···
2 · 25.07.2023 · 09:24:35 ···
L · 01.01.1970 · 01:00:00 ···
C · 07.09.2024 · 19:28:33 ···
💘 🖱️
* · 01.01.1970 · 01:00:00 ···
* · 01.01.1970 · 01:00:00 ···

· 01.01.1970 · 01:00:00 ···
0**##
🧠 📺

*** · 01.01.1970 · 01:00:00 ··· ::
*2* · 01.01.1970 · 01:00:00 ··· ::
*L* · 01.01.1970 · 01:00:00 ··· ::
*C* · 01.01.1970 · 01:00:00 ··· ::

********