DAvideo
alle Bilder sehen ;)
Designed by: Hinx3
OSWD 2004

Valid HTML 4.01!

MWANAUME ALALAMIKA MKE KUPENDA TENDO LA NDOA SANA KILA SIKU, KILA SAA “NIMECHOKA”

· 30.06.2023 · 19:03:06 ··· ··· Friday ·· 5 (5) COCO MEDIA
Kijana mmoja nchini Ghana amezua mjadala mkubwa kwenye mitandao ya kijamii baada ya kufunguka kuhusu maisha yake ya ndoa.
:
Hii ni baada ya kupiga simu katika kipindi cha mazungumzo ya Uhusiano kwenye redio kulalamikia kuhusu hulka ya mke wake.
:
Nana Kwame mkazi wa Kasoa akielezea masaibu yake, alisema amekuwa katika Ndoa kwa miaka miwili na mwanamke ambaye amezaa naye mtoto wa miezi 9. Tatizo lake kubwa ni kwamba mwanamke huyo huwa anataka Tendo la Ndoa kila siku hata kama yeye hana hamu.
:
“Kila siku, anataka nijamiane naye, Anapenda kufanya asubuhi, mchana na jioni. Kwa hivyo hata siku zangu za mapumziko, mara nyingi mimi hutoa udhuru kwamba nitaenda kazini ili tu niondoke nyumbani, Mimi ni sehemu ya Wanaume ambao wanaogopa kurudi nyumbani baada ya kazi kwa sababu ya mke wangu," alikiri. Mwanaume huyo aliyechanganyikiwa na kufadhaika zaidi alisema siku anazokataa kufanya mapenzi na mkewe, mwanamke huyo hukasirika na wakati mwingine humpiga makofi.


· 01.01.1970 · 01:00:00 ···
0**##
🧠 📺

· 01.01.1970 · 01:00:00 ···
# · 01.01.1970 · 01:00:00 ···
* · 01.01.1970 · 01:00:00 ···
* · 01.01.1970 · 01:00:00 ···

********