DAvideo
alle Bilder sehen ;)
Designed by: Hinx3
OSWD 2004

Valid HTML 4.01!

#### UCSNKyxhni_E2OsiPgzZn-LA
#### SELECT * FROM DAvidKanal WHERE `Chan` ="UCSNKyxhni_E2OsiPgzZn-LA"
BASE
:::::::: SELECT * FROM DAvidKanal WHERE Chan="UCSNKyxhni_E2OsiPgzZn-LA"

COCO MEDIA

21.07.2024 · 22:44:41 ···
01.01.1970 · 01:00:00 ···
07.06.2023 · 13:48:10 ··· 5 ··· ··· 33 ···
21.07.2024 · 22:44:41 ···
01.01.1970 · 01:00:00 ···
07.06.2023 · 13:48:10 ··· 5 ··· ··· 33 ···

1:: MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI DR ELIEZER FELESHI ASHANGAZWA NA WANANCHI WANAOJISOMBA KWA PAULMAKONDA

01.01.1970 · 01:00:00 ··· 01.02.2024 · 17:33:04 ··· ···
··· ··· ··· ··· Mwanasheria Mkuu wa Serikali Dr Eliezer Feleshi, aonyesha kushangazwa na Wananchi Wanaojisomba Kwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda kupeleka Malalamiko yao.

2:: JINSI UGONJWA WA MACHO MEKUNDU (RED EYES) UNAVYOAMBUKIZA! #news

01.01.1970 · 01:00:00 ··· 21.01.2024 · 15:30:41 ··· ···
··· ··· ··· ···

3:: JINSI YA KUJIKINGA NA UGONJWA WA MACHO MEKUNDU (RED EYES)

01.01.1970 · 01:00:00 ··· 21.01.2024 · 15:26:01 ··· ···
··· ··· ··· ···

4:: MAKALA MAALUMU YA MAZINGIRA YA AJIRA KWA WANAHABARI NA CHANGAMOTO ZAKE.

01.01.1970 · 01:00:00 ··· 30.12.2023 · 20:09:42 ··· ···
··· ··· ··· ···

5:: TEKNOLOJIA YA UCHIMBAJI MADINI MKOANI GEITA!

01.01.1970 · 01:00:00 ··· 29.12.2023 · 20:04:14 ··· ···
··· ··· ··· ··· TEKNOLOJIA YA UCHIMBAJI MADINI MKOANI GEITA!

6:: MAKALA MAALUMU YA USAFIRISHAJI HARAMU WA BINADAMU NCHINI TANZANIA

01.01.1970 · 01:00:00 ··· 24.08.2023 · 17:47:57 ··· ···
··· ··· ··· ··· Takribani kila nchi Duniani imeathiriwa na Biashara Haramu ya Binadamu, Tanzania imetajwa kuwa miongoni mwa nchi zenye Matukio ya Usafirishaji Haramu wa Binadamu, Uhalifu unaoathiri maelfu ya Wanawake, Watoto na Wanaume kila mwaka.

7:: 12 July 2023

01.01.1970 · 01:00:00 ··· 12.07.2023 · 13:40:08 ··· ···
··· ··· ··· ··· Mkazi wa mjini Mpanda, Athuman Yengayenga ameandika rekodi ya aina yake baada ya kufunga Ndoa na Wanawake watatu kwa wakati mmoja. Cc:AzamTV

8:: MABANGO YA WANAUME KITAKIWA KUWAPIMA DNA WATOTO WAO YAWEKWA KWENYE DALADALA.

01.01.1970 · 01:00:00 ··· 12.07.2023 · 13:39:32 ··· ···
··· ··· ··· ··· Sakata la Baadhi ya Wanaume Nchini Uganda Kulea Watoto ambao Sio wao limezua Sura mpya, Hivi sasa Ukipita mitaa ya Kampala hadi Daladala wameweka Mabango ya Matangazo ya kuhimiza Watu kupima DNA, Mabango hayo yanasomeka “Ni Mtoto wako ? Tuna udugu ? fanya DNA” “ DO A DNA TEST” : Haya yanatokana na Wanaume wengi kugundulika kulea Watoto wasio wao kama ripoti inavyosema. CC:Dwkiswahili

9:: MWANAUME ALALAMIKA MKE KUPENDA TENDO LA NDOA SANA KILA SIKU, KILA SAA “NIMECHOKA”

01.01.1970 · 01:00:00 ··· 30.06.2023 · 17:03:06 ··· ···
··· ··· ··· ··· Kijana mmoja nchini Ghana amezua mjadala mkubwa kwenye mitandao ya kijamii baada ya kufunguka kuhusu maisha yake ya ndoa. : Hii ni baada ya kupiga simu katika kipindi cha mazungumzo ya Uhusiano kwenye redio kulalamikia kuhusu hulka ya mke wake. : Nana Kwame mkazi wa Kasoa akielezea masaibu yake, alisema amekuwa katika Ndoa kwa miaka miwili na mwanamke ambaye amezaa naye mtoto wa miezi 9. Tatizo lake kubwa ni kwamba mwanamke huyo huwa anataka Tendo la Ndoa kila siku hata kama yeye hana hamu. : “Kila siku, anataka nijamiane naye, Anapenda kufanya asubuhi, mchana na jioni. Kwa hivyo hata siku zangu za mapumziko, mara nyingi mimi hutoa udhuru kwamba nitaenda kazini ili tu niondoke nyumbani, Mimi ni sehemu ya Wanaume ambao wanaogopa kurudi nyumbani baada ya kazi kwa sababu ya mke wangu," alikiri. Mwanaume huyo aliyechanganyikiwa na kufadhaika zaidi alisema siku anazokataa kufanya mapenzi na mkewe, mwanamke huyo hukasirika na wakati mwingine humpiga makofi.

10:: WAWATISHIE WATU WENGINE SIO MIMI: UHURU KENYATTA🇰🇪

01.01.1970 · 01:00:00 ··· 22.05.2023 · 17:40:54 ··· ···
··· ··· ··· ··· "Nilitaka kustaafu Siasa niende nikafanye mambo yangu mengine lakini kuna watu wameamua kuwa kazi yao ni vitisho na kulazimisha vitu. Leo ninawaambia wawatishie watu wengine ila sio mimi." - Rais Mstaafu wa Kenya, Uhuru Kenyatta

11:: KUNA VITU MWANADAMU HUWEZI KUCHAGUA KUWA MWANAMKE AU MWANAUME NI MAPENZI YA MUNGU HAITOKEI DUNIANI.

01.01.1970 · 01:00:00 ··· 18.05.2023 · 15:50:19 ··· ···
··· ··· ··· ···

12:: Kundi Maarufu la Watoto yatima toka Uganda la Ghetto Kids, limeshinda “Golden Buzzer”

01.01.1970 · 01:00:00 ··· 19.04.2023 · 13:51:49 ··· ···
··· ··· ··· ··· Kundi Maarufu la Watoto yatima toka Uganda la Ghetto Kids, limeshiriki mashindano ya Vipaji ya Britain’s Got Talent huko Uingereza na Kufanya Show ya pekee iliyowafanya waamuzi kuwapitisha kwa Shangwe Kubwa na Kujishindia nafasi ya moja kwa moja ya kuingia kwenye nusu fainali kwa kupata “Golden Buzzer” kwa onyesho lao la kusisimua na kufurahisha katika kipindi cha vipaji maarufu ya Britains Got Talent.

13:: NA SISI WABUNGE TUPIMWE KUJUA KAMA KUNA MASHOGA NA WASAGAJI

01.01.1970 · 01:00:00 ··· 12.04.2023 · 18:39:29 ··· ···
··· ··· ··· ···

14:: TUCHUKUE HATUA, TUUKATAE USHOGA

01.01.1970 · 01:00:00 ··· 11.04.2023 · 17:08:52 ··· ···
··· ··· ··· ··· Mbunge wa jimbo la Makete, Festo Sanga ameitaka Serikali kuchukua hatua na kutolifumbia macho Suala la mapenzi ya jinsia moja ambapo amedai kuwa endapo halitafanyiwa kazi basi miaka 30 ijayo bunge na nyumba za ibada zitakuwa zikiongozwa na watu wanaojihusisha na mambo hayo jambo ambalo sio Utamaduni wetu. @senator__sanga

15:: BUNGENI: TUSIMAME PAMOJA KUKEMEA MAPENZI YA JINSIA MOJA

01.01.1970 · 01:00:00 ··· 06.04.2023 · 13:30:15 ··· ···
··· ··· ··· ··· Mbunge wa Jimbo la Iringa Mjini Mh. Jesca Msamvatavangu akizungumza Bungeni jijini Dodoma Leo April 6 2023.

16:: MKE AMTAFUTIA MUME WAKE MCHEPUKO UNAOFANANA NAE ILI KUMZUIA ASICHEPUKE.

01.01.1970 · 01:00:00 ··· 28.03.2023 · 07:01:34 ··· ···
··· ··· ··· ··· Mwanamke mmoja huko Long Island nchini Marekani, amemtambulisha Mwanamke mwingine ambaye anafanana naye katika Ndoa yake yenye doa ili kumzuia Mume wake mzinzi kuwanyemelea wanawake wengine. : Kwa mujibu wa New York Post, Tehmeena Quintana alikerwa sana wakati mume wake Bryant Quintana alipochepuka miaka mitatu baada ya kufunga Ndoa. : Ninahisi kwamba ikiwa uko na mwanamume, unapaswa kufanya chochote kinachohitajika kusimamisha ndoa yako, Nataka kuishi maisha yangu yote naye Chochote anachotaka, chochote kinachomfurahisha, nitampa" alisema : Tehmeena aliamua kutumia mitandao ya kijamii kumtafuta mtu anayefanana naye ili kuingia katika Ndoa ya Mtaala. : Hatimaye, Tehmeena alipatana na mwanamitindo wa Australia Kyrah Johnson, ambaye kwa muonekano anafanana naye Kyrah alisafiri hadi New York kukutana na Tehmeena na Bryant akisema kutokea kuwa marafiki sasa wanalala kitanda kimoja pamoja, Kyrah amesema anapenda anavyofanana na Tehmeena. "Tunapoenda nje kila mara tunaulizwa kama sisi ni dada au mapacha!" alisema. Warembo hao pia walianza kuvaa nguo zinazofanana ili kuonyesha zaidi wanavyofanana. : Bryant kwa upande wake alisema sasa ameridhishwa sana na wapenzi wake wanaofanana na hatachepuka Tena.

17:: SIMBA MAARUFU SERENGETI “BOB JUNIOR” AUAWA NA WENZAKE KUTAKA UTAWALA WAKE

01.01.1970 · 01:00:00 ··· 15.03.2023 · 09:00:15 ··· ···
··· ··· ··· ··· Bob Junior’ Mtoto wa Bob Marley ameuawa baada ya kushambuliwa na Simba watatu waliokuwa na lengo la muda mrefu la kuuangusha Utawala wake.

18:: PAPA FRANCIS AWAPIGIA MAGOTI NA KUWABUSU MIGUU VIONGOZI WA SUDANI KUWAOMBA WAMALIZE TOFAUTI ZAO

01.01.1970 · 01:00:00 ··· 07.02.2023 · 06:22:06 ··· ···
··· ··· ··· ··· Touching Video: Ikionyesha Jinsi Papa Francis alivyo wapigia Magoti na kuwabusu Miguu viongozi wa Sudani Kusini kuwaomba wamalize tofauti zao na kuondoa machafuko yanayogharimu maisha ya maelfu ya wananchi wasio na hatia. Tukio lililomfanya Mchukua video ashindwe kujizuia na kulia kwa kwikwi kwa tendo hilo.

19:: MSHUKIWA WA MAUAJI YA MWANAMITINDO EDWIN ADAI MAREHEMU KUMSALITI

01.01.1970 · 01:00:00 ··· 07.01.2023 · 18:56:48 ··· ···
··· ··· ··· ··· Polisi Nchini Kenya wamemkamata Mshukiwa anaedaiwa kumuua Mwanamitindo na Mtetezi wa Mapenzi ya Jinsia moja Edwin Kiptoo Chiloba. Mshukiwa Jackton Odhiambo baada ya Kukamatwa amekiri kumuua Chiloba kwa kumsaliti

20:: MTOTO AJIUA BAADA YA KUJICHIMBIA KABURI

01.01.1970 · 01:00:00 ··· 31.12.2022 · 03:29:53 ··· ···
··· ··· ··· ···

21:: HOUSE GIRL JELA KWA KUMLISHA MTOTO UCHAFU WA SEHEMU ZA SIRI

01.01.1970 · 01:00:00 ··· 31.12.2022 · 03:29:25 ··· ···
··· ··· ··· ···

22:: WANAUME WANAOTHIBITIKA KUBAKA WAHASIWE:

01.01.1970 · 01:00:00 ··· 26.11.2022 · 07:54:14 ··· ···
··· ··· ··· ···

23:: ALKASUSI KIBOKO YA MKONGO ZANZIBAR

01.01.1970 · 01:00:00 ··· 14.11.2022 · 16:19:55 ··· ···
··· ··· ··· ···

24:: PILOT ALINIELEKEZA KUMVUNJIA KIOO CHAKE LAKINI ILISHINDIKANA

01.01.1970 · 01:00:00 ··· 07.11.2022 · 09:59:40 ··· ···
··· ··· ··· ··· Kijana Majaliwa Jackson mkazi wa Nyamkazi kata Miembeni Manispaa ya Bukoba ameeleza alivyo waokoa baadhi ya Abiria waliokuwa kwenye Ndege kisha na yeye kujikuta anaokolewa

25:: VIJANA 110 WAMPA KIPIGO BABA LEVO BAADA YA KUMFUMANIA NA DEMU WA MTU

01.01.1970 · 01:00:00 ··· 20.10.2022 · 17:12:52 ··· ···
··· ··· ··· ···

26:: Tanzania ma Hustler ni wengi na mimi ni Chief wao.

01.01.1970 · 01:00:00 ··· 10.10.2022 · 13:25:31 ··· ···
··· ··· ··· ···

27:: KIINGEREZA CHA MUSUKUMA BUNGENI

01.01.1970 · 01:00:00 ··· 22.09.2022 · 17:43:31 ··· ···
··· ··· ··· ···

28:: ANAEDAIWA KUFA NA KUZIKWA APIGA SIMU

01.01.1970 · 01:00:00 ··· 16.09.2022 · 13:36:06 ··· ···
··· ··· ··· ···

29:: HATIMAYE UHURU AMPONGEZA RUTO

01.01.1970 · 01:00:00 ··· 12.09.2022 · 20:01:53 ··· ···
··· ··· ··· ···

30:: MFALME CHARLES III AHUTUBIA BUNGE.

01.01.1970 · 01:00:00 ··· 12.09.2022 · 19:46:47 ··· ···
··· ··· ··· ···

31:: USHINDI WA RUTO KUPINGWA MAHAKAMA YA AFRIKA MASHARIKI Martha Karua Mgombea Mwenza wa Raila Odinga

01.01.1970 · 01:00:00 ··· 12.09.2022 · 08:21:14 ··· ···
··· ··· ··· ···

32:: Simba in Zanzibar🇹🇿

01.01.1970 · 01:00:00 ··· 12.09.2022 · 05:15:05 ··· ···
··· ··· ··· ···

33:: NTAKUELEKEZA FAIDA ZA WALI WA AMIRA!

01.01.1970 · 01:00:00 ··· 02.09.2022 · 00:00:00 ··· ···
··· ··· ··· ···