DAvideo
alle Bilder sehen ;)
Designed by: Hinx3
OSWD 2004

Valid HTML 4.01!

MABANGO YA WANAUME KITAKIWA KUWAPIMA DNA WATOTO WAO YAWEKWA KWENYE DALADALA.

· 12.07.2023 · 15:39:32 ··· ··· Wednesday ·· 3 (3) COCO MEDIA
Sakata la Baadhi ya Wanaume Nchini Uganda Kulea Watoto ambao Sio wao limezua Sura mpya, Hivi sasa Ukipita mitaa ya Kampala hadi Daladala wameweka Mabango ya Matangazo ya kuhimiza Watu kupima DNA, Mabango hayo yanasomeka “Ni Mtoto wako ? Tuna udugu ? fanya DNA” “ DO A DNA TEST”
:
Haya yanatokana na Wanaume wengi kugundulika kulea Watoto wasio wao kama ripoti inavyosema.
CC:Dwkiswahili


· 01.01.1970 · 01:00:00 ···
0**##
🧠 📺

· 01.01.1970 · 01:00:00 ···
# · 01.01.1970 · 01:00:00 ···
* · 01.01.1970 · 01:00:00 ···
* · 01.01.1970 · 01:00:00 ···

********