DAvideo
alle Bilder sehen ;)
Designed by: Hinx3
OSWD 2004

Valid HTML 4.01!

Wakazi wa Nandi walalamikia mgawo duni uliotolewa na wizara ya barabara katika kaunti hio

· 01.11.2023 · 12:48:31 ··· ··· Wednesday ·· 3 (3) Kenya CitizenTV
Baadhi ya wakaazi wa Kaunti ya Nandi wamejitokeza kulalamikia mgawo duni uliotolewa na wizara ya barabara Ili kuboresha miundombunu haswa barabara kaunti hiyo.Wakazi hao wamesema kuwa kaunti ya Nandi ilipata mgao wa chini zaidi kwani kaunti hiyo ilipewa shillingi millioni 25 pekee huku Kaunti zingine zikipata zaidi ya millioni 400. Hata hivyo wamemtaka waziri wa barabara Kipchumba Murkomen kuomba msamaha kufuatia malumbano kati yake na Viongozi wa kaunti hiyo ambao walikuwa wamelalamikia kutengwa kimaendeleo

· 01.01.1970 · 01:00:00 ···
0**##
🧠 📺

· 01.01.1970 · 01:00:00 ···
# · 01.01.1970 · 01:00:00 ···
* · 01.01.1970 · 01:00:00 ···
* · 01.01.1970 · 01:00:00 ···

********