DAvideo
alle Bilder sehen ;)
Designed by: Hinx3
OSWD 2004

Valid HTML 4.01!

Gharama ya umeme itaongezeka tena hivi karibuni

· 27.06.2023 · 18:14:57 ··· ··· Tuesday ·· 2 (2) Kenya CitizenTV
Gharama ya umeme itaongezeka hivi karibuni baada ya sheria mpya ya fedha ya mwaka 2023 kuidhinishwa na Rais William Ruto. Sheria hiyo inaongeza ushuru wa Petroli kutoka asilimia 8 hadi 16. kwenye mahojiano na kamati ya bunge kuhusu kawi, Muungano wa wauzaji umeme nchini, ulijitetea kuhusu bei ya juu ya umeme ikisema gharama hiyo inatokana na utumizi wa dizeli kuzakisha umeme

· 01.01.1970 · 01:00:00 ···
0**##
🧠 📺

· 01.01.1970 · 01:00:00 ···
# · 01.01.1970 · 01:00:00 ···
* · 01.01.1970 · 01:00:00 ···
* · 01.01.1970 · 01:00:00 ···

********