DAvideo
alle Bilder sehen ;)
Designed by: Hinx3
OSWD 2004

Valid HTML 4.01!

Mwakilishi wa kike Vihiga asema ziara za Rais William Ruto ni muhimu

· 01.11.2023 · 12:58:45 ··· ··· Wednesday ·· 3 (3) Kenya CitizenTV
Mwakilishi wa kike kaunti ya Vihiga Beatrice Adagala ametetea safari za nje za maafisa wakuu serikalini akiwemo Rais William Ruto, huku pia akisuta mrengo wa Azimio kutishia kujiondoa kwenye mazungumzo ya uwiano iwapo masuala ya gharama ya maisha yatapuuzwa. Mwakilishi huyo wa kike akizungumza katika eneo la Burudi kaunti ya Vihiga anasema safari ya nje za rais kamwe hazifai kukashifiwa kwani zina manufaa kwa taifa hili

· 01.01.1970 · 01:00:00 ···
0**##
🧠 📺

· 01.01.1970 · 01:00:00 ···
# · 01.01.1970 · 01:00:00 ···
* · 01.01.1970 · 01:00:00 ···
* · 01.01.1970 · 01:00:00 ···

********