DAvideo
alle Bilder sehen ;)
Designed by: Hinx3
OSWD 2004

Valid HTML 4.01!

UDA yasajili wanachama Homa Bay huku uchaguzi wa chama ukikaribia

· 01.11.2023 · 12:23:03 ··· ··· Wednesday ·· 3 (3) Kenya CitizenTV
Joto la kisiasa linazidi kupanda katika kaunti ya Homa-Bay wakati huu ambapo chama cha UDA kinaendelea kusajili wanachama wake baada ya ofisi ya chama hicho kufunguliwa kaunti hiyo. Hatua hiyo imekifanya chama cha ODM kuanza mchakato wa kuijiimarisha ili kuendeleza umaarufu wao katika eneo hilo

· 01.01.1970 · 01:00:00 ···
0**##
🧠 📺

· 01.01.1970 · 01:00:00 ···
# · 01.01.1970 · 01:00:00 ···
* · 01.01.1970 · 01:00:00 ···
* · 01.01.1970 · 01:00:00 ···

********