DAvideo
alle Bilder sehen ;)
Designed by: Hinx3
OSWD 2004

Valid HTML 4.01!

Kilio cha haki | Vijana waliolipa kampuni ya First Choice walia

· 26.08.2023 · 18:17:31 ··· ··· Saturday ·· 6 (6) Kenya CitizenTV
Matumaini ya vijana waliouza mali yao na ya wazazi wao ili kusafiri ughaibuni kufanya kazi yanazidi kufifia huku ndoto ya kurejeshwewa pesa wanazodai kulipa kwa kampuni ya First choice ikionekana kuzimika.Vijana hao kutoka kaunti za Uasin Gishu, Nandi na Elgeyo Marakwet, wanaendelea kuhangaika miaka miwili baadaye huku baadhi wakisalia na mikopo ya benki ambayo wameshindwa kulipa

· 01.01.1970 · 01:00:00 ···
0**##
🧠 📺

· 01.01.1970 · 01:00:00 ···
# · 01.01.1970 · 01:00:00 ···
* · 01.01.1970 · 01:00:00 ···
* · 01.01.1970 · 01:00:00 ···

********